Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Jinsi WhatsApp inavyoweza kukusaidia kukaa umeunganishwa wakati wa janga la virusi vya corona (COVID-19)

WhatsApp inakusaidia kujiunga na wale ambao ni muhimu zaidi kwako. Hapa kuna baadhi ya njia unazoweza kutumia WhatsApp kwa kuwajali marafiki na familia, pata habari rasmi za afya za hivi punde, na shiriki habari kwa uwajibikaji. Kama wewe ni mgeni kwa WhatsApp au unahitaji kozi ndogo, hapa kuna mwongozo wa hatua-kwa-hatua jinsi ya kuanza.

Ungana kwa mbali

Tumia vipengele vya WhatsApp, kama vikundi, simu ya sauti, na simu ya video kukaa umeunganishwa na kutoa msaada kwa wapendwa hata kama hutaweza kuwa kwenye sehemu hiyohiyo.

Chagua vyanzo vya habari vinavyoaminika

Ungana na mashirika ya ndani, kitaifa, na kimataifa. Rejea kwa vyanzo vinavyoaminika, kama vile Shirika la Afya Duniani au wizara yako ya afya ya kitaifa kwa habari za hivi punde na miongozo.

Saidia kuzuia usambazaji wa uvumi

Fikiria kuhusu ujumbe unaopokea, kwani si kila kitu unachotumiwa kuhusu virusi vya corona kinaweza kuwa sahihi. Hakiki ukweli kutoka kwa vyanzo vingine vya kuaminika, wachunguza ukweli, au kupitia boti ya soga ya kuangalia ukweli ya International Fact-Checking Network (IFCN) kwenye +1 (727) 2912606. Kama huna hakika kuwa jambo fulani ni la ukweli, usilisambaze.

Viongozi wa Jumuiya

Tumejitolea kuwapa viongozi wa jamii msaada mkiwa mnapambana na changamoto hili. Jifunze unavyoweza kutumia WhatsApp kutaarifu na kuunganishwa na jumuiya yako wakati watu wana wasiwasi kuhusu virusi vya corona.

Wataalamu wa Huduma ya Afya
Jifunze unavyoweza kuungana na wagonjwa wako, taarifu jamii, kuwa mwenyeji wa mikutano kwa mbali, weka majibu ya haraka kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara, na zaidi. Jifunze zaidi>
Walimu
Jifunze namna ya kuungana na wanafunzi wako kwenye WhatsApp, kutuma na kupokea kazi, kushiriki masomo kwa muundo wa maandishi na ujumbe wa sauti, na zaidi. Jifunze zaidi>
Mashirika yasiyo ya faida na Serekali za Mitaa
Litambulishe shirika lako, kaa umeunganishwa na jumuiya yako, shirikisha habari sahihi na kwa wakati muafaka, ratibu na timu yako, jibu maswali ya kawaida kwa haraka, na zaidi. Jifunze zaidi >
Biashara ya Ndani
Tafuta njia zaidi za kukaa umeunganishwa na wateja wako, shiriki masaa yako ya sasa ya biashara, fanya uchukuaji na uwakilishaji kwa ufanisi zaidi, toa taarifa za mara kwa mara za bidhaa zilizopo, na zaidi. Jifunze zaidi >

Hadithi

Tazama watu wanavyotumia WhatsApp kuwasiliana na jamii zao wakati huu wa changamoto:

  • Huko Pakistani, kikundi cha WhatsApp kilikusanya Rupia 21 milioni kusaidia jumuiya iliyokuwa inazama kwenye umasikini: Soma makala hapa >
  • Kundi la Meya wa Italia linakaa limeunganishwa kwa kutumia WhatsApp: Soma makala hapa >
  • Shule za msingi huko Naples, Italia zinaendelea na masomo licha ya kufungwa, kwa kutumia WhatsApp kuwasilisha kazi kwa familia: Soma makala hapa >
  • Huko Hong Kong mtu mmoja anatumia WhatsApp kushauri jamii kusaidia biashara za ndani: Soma makala hapa >
  • Programu ya kusaidia kupata kazi huko Yordani inatumia WhatsApp kushawishi wanawake kutafuta kazi wakati Virusi vya Corona vinashambulia: Soma makala hapa >
  • Wataalamu wa Afya huko Paris wameunda kikundi cha WhatsApp ili kupata habari za hivi punde kuhusu uwezo wa hospitali: Soma makala hapa >
  • Maofisa huko Coimbatore, India hufanya mikutano kupitia WhatsApp: Soma makala hapa >
  • Waalimu kwenye kambi za wakimbizi huko Siria wanashiriki masomo na wazazi kwa kutumia Whatsapp: Soma makala hapa >
  • Walioponea utumwa huko India wanatumia vikundi vya WhatsApp kuwaelemisha wenzao kuhusu virusi vya corona: Soma makala hapa >
  • Wagonjwa huko Florianópolis, Brazil wanaweza kufanya miadi na kuuliza maswali kwa kutumia WhatsApp: Soma makala hapa >

Washirika wa ulimwengu

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti