Nenda kwenye maudhui
  • Ukurasa wa Mwanzo
    • Tuma ujumbe faraghaniEndelea kuwasilianaUnganishwa katika vikundiJielezeImeundwa kuwa salamaShiriki mambo yako ya kila sikuFuata vituo Fanya zaidi ukitumia Meta AI
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Pakua
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2025 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Endelea kuwasiliana

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Unganishwa katika vikundi

      Utumaji ujumbe kwenye kikundi umerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • Imeundwa kuwa salama

      Safu za ulinzi za kukusaidia kuwa salama.

    • Shiriki mambo yako ya kila siku

      Shiriki picha, video, madokezo ya sauti kwenye Hali.

    • Fuata vituo

      Endelea kupata taarifa kuhusu mada unazojali.

    • Fanya Zaidi ukitumia
      Meta AI

      Pata usaidizi wa chochote.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Programu
IngiaPakua
  • MUHTASARI
  • Mambo muhimu ya kuzingatia unapoanzisha jumuiya mpya au unapoongeza vikundi katika Jumuiya kwenye WhatsApp.

    • 100: Kuanzisha Jumuiya
    • 101: Kudumisha Usalama kwenye Jumuiya
    • 102: Jinsi ya Kusimamia Jumuiya Ipasavyo
    • 103: Jinsi ya Kukuza na Kushirikisha Jumuiya
  • Wawezeshe na kushirikiana na wasimamizi na wanajumuiya ili kujenga na kudumisha jumuiya inayowafaa.

    • 200: Kuweka Mipaka na Kudumisha Mazingira Bora ya Jumuiya
    • 201: Kudhibiti Migogoro na Kukuza Ushirikishwaji
    • 202: Kutekeleza Sheria za Jumuiya na Kuwadhibiti Wanachama Wagumu
    • 203: Kusimamia na Kugawa Majukumu kwa Jumuiya zenye wasimamizi wengi
  • Angalia jinsi watu kutoka sekta mbalimbali wanavyotumia WhatsApp kukuza jumuiya zao.

    • Wajenzi wa Jumuiya yetu
    • Jeshi la BTS Festapora
    • Mama wa Kiafrika nchini Deutschland
    • Lea Mtoto Mzuri
    • Jukwaa la Mtoaji
    • Soy Super Papa (Mimi ni Baba Bora)

Soy Super Papa (Mimi ni Baba Bora)

"Wasimamizi wangu ndio moyo na roho ya jamuiya na zana bora zinatengenezwa kila siku. Naweza kuthibitisha hili. Tangu 2016, zana zimekuwa zikiboreshwa kila wakati."

- Sergio

Unapokosa usingizi na kuzungukwa na matapiko ya mtoto, kuwa baba mara ya kwanza kunaweza kukulemea kidogo... lakini jumuiya ya mtandaoni iko hapa kukusaidia.

Soy Super Papá, au kwa Kiingereza - I'm a Super Dad - ni kongamano la lugha ya Kihispania kuhusu ubaba unaoendelea.

Wazo hilo lilianza mnamo 2016, wakati mke wa Sergio Rosario Diaz alimwambia kuwa alikuwa mjamzito.

Mara moja alianza kutafuta habari juu ya jinsi ya kuwa baba bora ambaye angeweza kuwa, lakini kulikuwa na ukosefu wa habari na ushiriki juu ya mada hiyo kwa Kihispania.

Aliamua kujaza pengo na kuunda kitu kwa wengine kama yeye, na kuanza kushughulikia changamoto kubwa na jukumu la maisha yao.

"Kundi lililofungwa la Facebook la akina baba lina wanachama 70K pekee, hata hivyo ukurasa wetu una 310K na ni kati ya akina baba, akina mama, mababu, na wajomba - jumuiya nzima ambayo inatafuta kwa dhati njia mpya na mbadala za kusaidia kulea watoto. Ushiriki katika ukurasa huo pekee ni karibu watumiaji milioni 45 wanaohusika kila mwezi ", Sergio anaelezea.

Jumuiya za WhatsApp ndiyo inazowaleta pamoja, kuwaunganisha akina baba katika nchi ishirini na mbili na kutoa mahali salama pa kufungua mioyo na akili zao bila kuhukumiwa.

“Faragha ni lazima. Tunahitaji mazingira salama kwa jamii iliyonyanyapaliwa,” anasema.

Jumuiya hutoa nafasi hiyo salama, na pia kuruhusu matangazo yenye ufanisi zaidi, maoni bora ya jumuiya na kuongezeka kwa ushiriki… na hali inaboreka kila wakati.

"Wasimamizi wangu ndio moyo na roho ya jamuiya na zana bora zinatengenezwa kila siku. Naweza kuthibitisha hili. Tangu 2016, zana zimekuwa zikiboreshwa kila wakati."

Inamaanisha kuwa anaweza kufuatilia ndoto yake ya kuboresha rasilimali kwa wanajamii na kuwawezesha wengine kuunda jumuiya na fursa sawa kote ulimwenguni.

“Kila jumuiya ni tofauti na kama kiongozi au muundaji, wajibu wako ni kujua jumuiya yako kana kwamba ni mtoto wako. Mahitaji yao ni ya kipekee na kama viongozi, lengo letu linapaswa kuwa katika kuboresha hali ya mtumiaji kila wakati."

Rudi kwa Givers Arena
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwa nini makala haya hayakusaidia?
  • Makala haya yalikuwa na mkanganyiko
  • Makala hayatatui tatizo langu
  • Makala haya hainihusu mimi au jumuiya yangu
  • Makala hayaelezi jinsi ya kufanya hivyo kwenye WhatsApp
Asante kwa majibu yako.

INAYOFUATA

Wajenzi wa Jumuiya Yetu
TAZAMA MAFUNZO
RUDI JUU
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma Zetu
VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni nani
Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsApp
AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?
Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2025 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap