ULY Clinic Channel ni jukwaa maalum lililoundwa kukuleta karibu na maarifa ya afya kutoka kwa wataalamu.
Tunatoa maelezo kuhusu:
Afya ya mwili na kinga
Lishe na ustawi
Elimu ya magonjwa ya kawaida
Ushauri wa kujitunza na kuzuia maradhi
Lengo letu ni kukuimarisha kwa maarifa ili ufanye chaguo sahihi kwa afya yako na ya wapendwa wako.
Ikiwa una swali binafsi la kiafya unalotaka lijibiwe moja kwa moja, unaweza kututumia ujumbe inbox kupitia WhatsApp: +255-621-122-578.
We increase access to Health Care via digital technology.