*TUBE MEDICAL CHANNEL*
Tunayo furaha kutambulisha Tube Medical Channel, jukwaa letu rasmi linalolenga kutoa elimu ya afya na ushauri wa maisha bora kwa jamii yetu ya mtandaoni. Kupitia channel hii, tutatoa maarifa ya kitaalamu kuhusu masuala ya afya, kinga dhidi ya magonjwa, mbinu za kuboresha mtindo wa maisha, na ustawi wa jumla.
Nini Utapata Kwenye Tube Medical Channel:
- Taarifa za kiafya na uchambuzi wa wataalamu
- Ushauri wa kiafya unaotegemea ushahidi wa kisayansi
- Uelewa kuhusu magonjwa na mbinu za kuyazuia.
- Ufafanuzi wa changamoto za afya zinazojitokeza mara kwa mara.
Kujinga na *TUBE MEDICAL CHANNEL* tumia link hii 👇🏽.
https://whatsapp.com/channel/0029VaEmfTBFCCoQnsJirt3l
THE PREMIUM FAMILY HEALTH GROUP
Faida za Kujiunga na Premium Family Health Group
- Wanachama wanaweza kuuliza maswali na kushiriki mijadala
- Upatikanaji wa mapema wa mada muhimu za afya na maoni ya wataalamu
- Mawasiliano ya moja kwa moja na wataalamu wa afya
- Kuunganishwa na watu wengine wanaothamini afya zao.
Garama za kujiunga ni elfu 30,000 Kwa Kila miezi sita au elfu 60 Kwa mwaka.
CRDB BANK ACCOUNT
0150740665000
TUBE MEDICAL CONSULTANCY
LIPA NUMBER VODA
5806447
TUBE MEDICAL CONSULTANCY
Au Kwa kupitia link hii 👇🏽
https://flutterwave.com/pay/tubemedical