Vidokezo vya Usalama kwenye WhatsApp
Kwa sababu ya undani wa mawasiliano ya binafsi, faragha na usalama wako ni muhimu kwetu, ndiyo maana tuliweka ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho kwenye programu yetu.
Pia tumebuni vipengele vya ziada vinavyoweza kukusaidia uwe salama kwenye WhatsApp.