Vidokezo vya Usalama wa WhatsApp
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu
Vidokezo vya Usalama wa WhatsApp

Kwa kuzingatia hali ya usiri wa ujumbe wa binafsi, usalama na faragha yako ni muhimu kwetu, ndiyo maana tumebuni ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye programu yetu.

Tumeendeleza vipengele zaidi zitakazo kukusaidia kuwa salama kwenye WhatsApp.

Kudhibiti Mipangilio Yako Ya Faragha

Weka picha yako ya jalada, mwisho kuonekana, na kuhusu, kuonekana na kila mtu, anwani tu, au hakuna yeyote.

Android | iPhone

Zuia Watumiahi Wasiotakikana

Zuia mtu kuwasiliana na wewe moja kwa moja kutoka kwenye soga.

Android | iPhone

Omba maelezo ya akaunti

Pata ripoti ya akaunti yako ya WhatsApp na mipangilio.

Learn more

Futa Ujumbe Uliopo Kwenye Soga

Futa ujumbe wote uliopo kwenye soga ya binafsi au ya kikundi, au soga zote kwa mara moja.

Android | iPhone

Zima Taarifa za Kusomwa

Chagua kama mtu anaweza kuona kama umesoma ujumbe wake.

Android | iPhone

Futa na Kuripoti Barua taka

Ripoti barua taka kutoka kwenye programu

Learn more

Jitoe kwenye Kikundi

Ondoka kwenye kikundi kwa wakati wowote.

Android | iPhone

Wezesha Uthibitisho wa Hatua-Mbili

Tengeneza pin ya tarakimu-sita kuwezesha usalama.

Learn more
Rasilimali Zaidi

Kupata habari zaidi kuhusu usalama, tembelea Kituo cha Msaada.

Jifunze zaidi kuhusu vile tunavyopambana na unyanyasaji.

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti