Vidokezo vya Usalama vya WhatsApp

Inakupa asili binafsi ya utumaji wa jumbe za faragha, faragha yako na usalama ni vya muhimu kwetu. Jumbe zako na simu zinalindwa otomatiki kwa ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho kwa hiyo hakuna yeyote, atakayeweza kusoma wala kusikiliza, hata WhatsApp hawawezi.

Pia tumeendeleza vipengele vya ziada ambavyo vinaweza kukusaidia kubaki salama kwenye WhatsApp.

Dhibiti Mipangilio Yako Ya Faragha

Weka picha yako ya jalada, mwisho wa kuonwa, na maelezo, kuweza kuonwa na kila mmoja, waasiliani tu, au hakuna yeyote.

Zuia Watumiaji Wasiohitajika

Zuia mtu fulani kuwasiliana na wewe moja kwa moja kutoka kwenye soga.

Omba Maelezo ya Akaunti

Pata ripoti ya akaunti yako ya WhatsApp na mipangilio.

Futa Jumbe Ndani ya Soga

Futa jumbe zote ndani ya soga binafsi au soga za kikundi, au soga zote kwa mkupuo.

Zima Usomaji wa Mapokeo

Chagua mtu aone kama umesoma ujumbe wake.

Futa na Taarifu Ujumbe Taka

Taarifu ujumbe taka ukiwa ndani ya programu.

Jitoe kwenye Kikundi

Jitoke kwenye kikundi muda wowote.

Wezesha Uhakiki wa Hatua-Mbili

Unda pin ya tarakimu-sita ili kuwezesha usalama wa ziada.

Rasiliamali za Nyongeza

Kwa rasilimali za nyongeza kuhusu mada za usalama, tafadhali tembelea hii Mawali Yanayoulizwa Sana