Jiunge WhatsApp
WhatsApp ni kampuni ya mawasiliano yenye zaidi ya watumiaji bilioni 1 walio hai ulimwenguni. Tunasaidia kuleta marafiki, familia, jamii, vikundi vya soka, madaktari, watafutaji, na mamilioni ya wengine pamoja. Ndio kwanza tumeanza. Tunatafuta watu wazuri wa kukuza na kusaidia jamii hii ya kushangaza ya watumiaji. WhatsApp imepewa alama kama moja ya programu 25 za Juu zilizopakuliwa kwenye zaidi ya nchi 100 kwenye Ghala la Programu na imesakinishwa zaidi ya mara Bilioni 1 kwenye Google Play.

WhatsApp is proud to be an Equal Employment Opportunity and Affirmative Action employer. We do not discriminate based upon race, religion, color, national origin, sex, sexual orientation, gender identity, age, status as a protected veteran, status as an individual with a disability, or other applicable legally protected characteristics. Click here to read Equal Employment Opportunity is the Law.

We are committed to providing reasonable accommodations for qualified individuals with disabilities and disabled veterans in our job application procedures. If you need assistance or an accommodation due to a disability, you may contact us at accommodations-ext@fb.com or you may call us at +1 650 308 7837.

WhatsApp participates in the E-Verify program in certain locations, as required by law.