WhatsApp ni njia ya haraka, rahisi na ya kutegemewa kuongea na yeyote yule duniani. Zaidi ya watu bilioni 1 kwenye zaidi ya nchi 180 wanatumia WhatsApp kujiweka karibu na marafiki na familia, muda wowote na mahali popote. WhatsApp sio bure tu bali pia inapatikana kwenye vifaa mbalimbali vya mkononi na kwenye sehemu zenye muunganisho hafifu — hivyo kuifanya yakutegemewa na inayopatikana popote pale ulipo. Ni njia rahisi na salama ya kushirikisha nyakati zako ulizozipenda, kutuma taarifa muhimu au kukutana na rafiki. WhatsApp inasaidia watu kuunganika na kushirikishana bila kujali mahali walipo duniani.
WhatsApp is proud to be an Equal Employment Opportunity and Affirmative Action employer. We do not discriminate based upon race, religion, color, national origin, sex (including pregnancy, childbirth, reproductive health decisions, or related medical conditions), sexual orientation, gender identity, gender expression, age, status as a protected veteran, status as an individual with a disability, genetic information, political views or activity, or other applicable legally protected characteristics. You may view our Equal Employment Opportunity notice here. We also consider qualified applicants with criminal histories, consistent with applicable federal, state and local law. We may use your information to maintain the safety and security of Facebook, its employees, and others as required or permitted by law. You may view Facebook’s Pay Transparency Policy and Equal Employment Opportunity is the Law notice by clicking on their corresponding links. Additionally, WhatsApp participates in the E-Verify program in certain locations, as required by law.
WhatsApp is committed to providing reasonable accommodations for candidates with disabilities in our recruiting process. If you need any assistance or accommodations due to a disability, please let us know at accommodations-ext@fb.com .