Nenda kwenye maudhui
  • Ukurasa wa Mwanzo
    • Tuma ujumbe faraghaniEndelea kuwasilianaUnganishwa katika vikundiJielezeWhatsApp kwa ajili ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Pakua
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2025 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Endelea kuwasiliana

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Unganishwa katika vikundi

      Utumaji ujumbe kwenye kikundi umerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • WhatsApp business

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Programu
IngiaPakua

Jiunge na WhatsApp

WhatsApp ni njia ya haraka, rahisi na ya kuaminika ya kuwasiliana na mtu yeyote kote duniani. Zaidi ya watu bilioni 2 katika zaidi ya nchi 180 hutumia WhatsApp kuwasiliana na ndugu na marafiki, popote na wakati wowote. WhatsApp inatolewa bila malipo na inaweza kutumiwa kwenye vifaa mbalimbali katika maeneo ambako muunganisho ni dhaifu – hivyo inapatikana na inatumika popote ulipo. Ni njia rahisi na salama ya kushiriki matukio yanayokuvutia, kutuma taarifa muhimu au kuwasiliana na marafiki. WhatsApp huwawezesha watu kuwasiliana na kushiriki maudhui wakiwa popote duniani.

Design & User Experience

  • Design Program Manager - WhatsApp, Business

  • Design Program Manager - WhatsApp

  • Global Operations

  • Head of WhatsApp Support Operations

  • Support Experience Engineer - Tools & Automation, WhatsApp Operations

  • Sales & Marketing

  • Brand Marketing Manager, WhatsApp

  • Product Management

  • WhatsApp Product Manager (Consumer)

  • Technical Program Management

  • Technical Program Manager, WhatsApp


  • WhatsApp inajivunia Kutoa Fursa Sawa za Ajira kwa Watu Wote na Kuwajumuisha Wanaobauguliwa. Hatubagui kwa misingi ya kabila, dini, rangi, uraia, jinsia (ikiwemo ujauzito, uzazi, maamuzi kuhusu uzazi, au matatizo husika ya kiafya), mwelekeo wa ngono, utambulisho wa kijinsia, udhihirisho wa kijinsia, umri, hadhi ya mkongwe aliyelindwa, ulemavu, maelezo ya kijeni, msimamo au shughuli za kisiasa, au vigezo vingine husika vinavyotambulika kisheria. Ilani yetu ya Fursa Sawa za Ajira kwa Watu Wote inapatikana hapa. Pia, tunatoa nafasi za ajira kwa wanaowasilisha maombi ya kazi na wamehitimu licha ya kuwa wana historia ya uhalifu, kwa mujibu wa sheria husika ya kieneo, jimbo na kitaifa. Huenda tukatumia maelezo yako kudumisha usalama wa Facebook, wafanyakazi wake, na wahusika wengine kama inavyohitajika au kuruhusiwa kisheria. Unaweza kuangalia Sera ya Facebook kuhusu Maelezo ya Mapato na ilani kuhusu Sheria ya Fursa Sawa ya Ajira kwa Watu Wote kwa kubofya viungo husika. Pia, WhatsApp hushiriki kwenye mpango wa E-Verify katika maeneo fulani, kama inavyohitajika kisheria.

    WhatsApp inajitahidi kutoa malazi yanayofaa kwa watuma-maombi wenye ulemavu katika mchakato wetu wa kuajiri. Ikiwa unahitaji usaidizi wowote au malazi kwa sababu ya ulemavu, tafadhali tujulishe kupitia accommodations-ext@fb.com .

    Pakua
    Nembo Kuu ya WhatsApp
    Nembo Kuu ya WhatsApp
    Pakua
    Huduma Zetu
    VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
    Sisi ni nani
    Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
    Tumia WhatsApp
    AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
    Unahitaji msaada?
    Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
    Pakua

    WhatsApp LLC 2025 ©

    Sheria na Sera ya Faragha
    Sitemap