Rahisi. Salama.
Utumaji jumbe wa kutegemewa.

Kwa kutumia WhatsApp, utapata uharaka, urahisi, utumaji jumbe na upigaji simu salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.
Pakua sasa
* Gharama za data zitatumika. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo.

Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho

Usalama wa Asili

Baadhi ya vipindi vya maisha yako binafsi umevishirikisha kwa WhatsApp, hii ndio sababu tumetengeneza ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho kwenye matoleo ya karibuni ya programu yetu. Wakati umefumbwa mwisho-kwa-mwisho, jumbe zako na simu unazopiga au kupokea zipo kwenye usalama kwa hiyo wewe tu na mtu unayewasiliana naye ndiye atakayeweza kusoma au kuzisikiliza, na hakuna mwingine kati yenu, hata WhatsApp hawawezi.
Chunguza vipengele