Unganisha kwenye vifaa
Piga simu kwenye WhatsApp kwa kutumia kifaa unachotaka kwa kupakua programu zetu. Kupiga simu kunapatikana kwenye iOS, Android, Mac, iPad na vifaa vya Windows.
Sikia na uone watu vizuri
Pata maelezo zaidiUnaweza kutegemea simu za sauti zinazoaminika, hata kwenye vifaa vya zamani au vyenye muunganisho mbaya wa mtandao. Simu za video zenye ubora wa HD ili watu waonekane jinsi ambavyo wangeonekana ana kwa ana.
Weka mambo yakiwa siri
Jifunze zaidiUfumbaji wa mwisho hadi mwisho huweka simu zako za kibinafsi kati yako na mtu unayewasiliana naye.
Ongeza madoido ya video
Ongeza kichujio au mandharinyuma wakati wa simu ya video ili kuonyesha mtindo wako wa kibinafsi. Changanya na ulinganishe kwa kutumia chaguo anuwai ili kuunda mtazamo wa asili.












