Kwa maswali yote yanayohusiana na WhatsApp, wasiliana nasi
Ili uripoti matatizo yanayohusiana na ufikivu au ili utupatie mapendekezo,
Kwa maswali yote kutoka kwa watumiaji wanaoishi na ulemavu ikijumuisha usaidizi wa visomaji vya skrini na teknolojia ya usaidizi au na maoni ya ufikiaji kuhusu bidhaa za WhatsApp, wasiliana nasi: accessibility@support.whatsapp.com
Muhimu: Ikiwa ombi halihusiani na ufikiaji au ni mahususi kwa Urejesho wa Akaunti au kama huwezi kuingia katika Akaunti yako ya WhatsApp, wasiliana na msaada wa akaunti
Ikiwa ungependa kujaribu huduma zetu kwa ajili ya biashara kubwa, unaweza kujaza utafiti huu
Kwa maswali yote yanayohusiana na Sera yetu ya Faragha, wasiliana nasi
WhatsApp LLC
1 Meta Way,
Menlo Park, California 94025,
United States of America
WhatsApp LLC ni Kampuni ya Delaware ya Dhima Yenye Ukomo — Faili Na. 5482270