Wasiliana na WhatsApp

Msaada wa Tarishi ya WhatsApp

Ili kukusaidia wewe vizuri, wasiliana nasi kutoka kwenye simu yako kwa kufungua WhatsApp > Mipangilio > Msaada > Wasiliana Nasi. Pia unaweza kutembelea FAQ kwa maelezo ya ziada.

Tujulishe jinsi unavyotumia WhatsApp kwa kuteua moja ya chaguzi hapo chini. Alafu gusa kwenye barua pepe itakayojitokeza ili uwasiliane nasi.