Ili tuweze kukusaidia vizuri, wasiliana nasi kutoka kwenye simu yako kwa kufungua WhatsApp > Mipangilio > Msaada > Wasiliana nasi. Pia unaweza kutembelea Kituo cha Msaada kwa maelezo zaidi.
Tujulishe jinsi unavyotumia WhatsApp kwa kuandika maelezo muhimu hapa chini. Kisha, gusa au bofya "Tuma Swali" ili kuwasiliana nasi.