Unganisha kwenye vifaa
Piga simu kwenye WhatsApp kwa kutumia kifaa unachotaka kwa kupakua programu zetu au moja kwa moja kutoka kwa kivinjari chako cha wavuti. Piga simu kutoka kwenye iOS, Android, Mac, iPad na vifaa vyako vya Windows.
Sikia na uone watu vizuri
Pata maelezo zaidiUnaweza kutegemea simu za sauti zinazoaminika, hata kwenye vifaa vya zamani au vyenye muunganisho duni wa mtandao. Kwa kutumia simu za video zenye ubora wa HD, watu wanaonekana jinsi ambavyo wangeonana ana kwa ana.
Weka mambo kuwa ya faragha
Pata maelezo zaidiUfumbaji wa mwisho hadi mwisho huweka simu zako za kibinafsi kati yako na mtu unayewasiliana naye.
Kuweka madoido kwenye video
Ongeza kichujio au mandharinyuma wakati wa simu ya video ili kuonyesha mtindo wako wa kibinafsi. Changanya na ulinganishe kwa kutumia chaguo anuwai ili kuunda mtazamo wa asili.











