Unataka kuingia sokini ukitumia API ya WhatsApp Business? Shirikiana na mmoja wa watoa huduma wetu wa kimataifa ambao ni wataalamu wa mawasiliano ya kati ya biashara na wateja. Tafuta kwenye saraka ya washiriki wa Facebook.
Au jifunze zaidi kuhusu suluhisho za biashara ndogo.
Onekana
Jadala la Biashara
Tengeneza jadala la biashara iliyo na habari ya manufaa kwa wateja wako kwa mfano anwani, maelezo ya biashara, barua pepe, na tovuti.
Piga soga na Wateja
Zana za utumaji ujumbe
Watumie wateja wako habari wanayotarajia wanakotaka kupokea. Jibu maswali na wapatie usaidizi.
Anza
Hadithi za Wateja
Kaa ukijua
Unatafuta habari zaidi?