Biashara
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu
Programu ya WhatsApp Business
WhatsApp Business ni programu ambayo ni bure kupakuliwa, na ilijengwa kumfikiria mmiliki wa biashara ndogo. Kuunda orodha kuonyesha bidhaa na huduma zako. Kuwasiliana na wateja kwa urahisi kwa kutumia zana za kujiendesha, kupanga, na kujibu ujumbe kwa haraka.

WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.


Pakua ya simu yako

Android iPhone

Onekana

Jadala la Biashara

Tengeneza jadala la biashara iliyo na habari ya manufaa kwa wateja wako kwa mfano anwani, maelezo ya biashara, barua pepe, na tovuti.

Tuma ujumbe zaidi, fanya kazi kidogo zaidi

Majibu ya Haraka

Majibu ya haraka yanakuruhusu kuhifadhi na kutumia tena jumbe ambazo unatuma mara kwa mara ili uweze kujibu kwa urahisi maswali ya kawaidi kwa haraka.

Kaa umejipanga

Lebo

Panga waasiliani wako au soga zako kwa lebo, ili uweze kuzipata kwa urahisi tena.

Jibu mara moja

Jumbe Zinazotumwa Kiotomatiki

Weka ujumbe wa kuwa mbali wakati ambapo huwezi kujibu ili wateja wako wajue muda wa kutarajia jibu. Unaweza pia kuunda ujumbe wa salamu kujulisha wateja wako kuhusu biashara yako.

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti