Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppProgramu ya WhatsApp Business
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Business automated messages

Programu ya WhatsApp Business

WhatsApp Business ni programu unayoweza kupakua bila kulipia, iliyoundwa kwa kuwazingatia wamiliki wa biashara ndogo. Programu hii inakurahisishia kutangamana na wateja wako moja kwa moja, kuangazia bidhaa na huduma zako, pamoja na kujibu maswali ya wateja katika mchakato wote wa ununuzi. Andaa katalogi ili uonyeshe bidhaa pamoja na huduma zako na utumie zana maalum kuchuja na kujibu ujumbe haraka kiotomatiki.

WhatsApp pia inaweza kuzisaidia biashara kubwa na za wastani kutoa usaidizi na kutuma arifa muhimu kwa wateja. Pata maelezo zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.

PAKUA KWA AJILI YA SIMU YAKO
ANDROIDIPHONE
Ujumbe otomatiki wa kibiashara

ONEKANA

Wasifu wa Biashara

Andaa jalada la biashara lenye maelezo ya manufaa kwa wateja wako kama vile anwani yako, maelezo ya biashara, anwani ya barua pepe na tovuti.

TUMA UJUMBE SANA, FANYA KAZI KWA MUDA MCHACHE

Majibu ya Haraka

Majibu ya haraka hukuruhusu kuhifadhi na kutumia tena ujumbe unaotuma mara kwa mara ili uweze kujibu maswali yanayoulizwa sana kwa haraka.

Ujumbe otomatiki wa kibiashara

KUWA NA MPANGILIO MZURI

Lebo

Panga unaowasiliana nao au soga zako kwa lebo, ili uweze kuzipata tena kwa urahisi.

Ujumbe otomatiki wa kibiashara
Ujumbe otomatiki wa kibiashara

JIBU PAPO HAPO

Ujumbe Otomatiki

Weka ujumbe wa kuashiria kwamba haupo wakati huwezi kujibu ili wateja wako wajue wakati wa kutarajia jibu. Unaweza pia kutunga ujumbe wa salamu ili kuitambulisha biashara kwa wateja wako.

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti