Biashara
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu
Programu ya WhatsApp Business
WhatsApp Business ni programu unayoweza kupakua bure na imeundwa kwa kuwazingatia wamiliki wa biashara ndogondogo. Programu hii inakurahisishia mtagusano wa kibinafsi na wateja wako, kuangazia bidhaa na huduma zako, na kujibu maswali ya wateja katika mchakato wao wote wa ununuzi. Unda katalogi ili uonyeshe bidhaa na huduma zako na utumie zana maalum kupanga na kujibu ujumbe haraka kiotomatiki.

WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.


Pakua ya simu yako

Android iPhone

Onekana

Jadala la Biashara

Tengeneza jadala la biashara iliyo na habari ya manufaa kwa wateja wako kwa mfano anwani, maelezo ya biashara, barua pepe, na tovuti.

Tuma ujumbe zaidi, fanya kazi kidogo zaidi

Majibu ya Haraka

Majibu ya haraka hukuruhusu kuhifadhi na kutumia tena ujumbe unaotumia mara kwa mara ili uweze kujibu kwa urahisi maswali yanayoulizwa sana kwa haraka.

Kaa umejipanga

Lebo

Panga waasiliani wako au soga zako kwa lebo, ili uweze kuzipata kwa urahisi tena.

Jibu mara moja

Ujumbe Unaotumwa Kiotomatiki

Weka ujumbe wa kuwa mbali wakati ambapo huwezi kujibu ili wateja wako wajue muda wa kutarajia jibu. Unaweza pia kuunda ujumbe wa salamu kujulisha wateja wako kuhusu biashara yako.

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti