WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.
Onekana
Jadala la Biashara
Tengeneza jadala la biashara iliyo na habari ya manufaa kwa wateja wako kwa mfano anwani, maelezo ya biashara, barua pepe, na tovuti.
Tuma ujumbe zaidi, fanya kazi kidogo zaidi
Majibu ya Haraka
Majibu ya haraka hukuruhusu kuhifadhi na kutumia tena ujumbe unaotumia mara kwa mara ili uweze kujibu kwa urahisi maswali yanayoulizwa sana kwa haraka.
Kaa umejipanga
Lebo
Jibu mara moja
Ujumbe Unaotumwa Kiotomatiki
Weka ujumbe wa kuwa mbali wakati ambapo huwezi kujibu ili wateja wako wajue muda wa kutarajia jibu. Unaweza pia kuunda ujumbe wa salamu kujulisha wateja wako kuhusu biashara yako.