Zaidi ya watu bilioni 2 katika zaidi ya nchi 180 wanatumia WhatsApp1 kuwa karibu na marafiki na familia wakati wowote na popote. WhatsApp ni bure2 na inakupa huduma ya kutuma ujumbe na kupiga simu kwa urahisi, usalama na kwa namna ya kutegemeka, inapatikana kwenye simu duniani kote.
1Na ndio, jina WhatsApp ni la utani kutoka kwenye maneno What's Up.
2Huenda ukatozwa ada za data.