
Tuma ujumbe faraghani
Rahisi, yaaminika, kutuma ujumbe faraghani bila malipo *, yapatikana duniani kote.












* Unaweza kutozwa gharama ya data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.
Rahisi, yaaminika, kutuma ujumbe faraghani bila malipo *, yapatikana duniani kote.
* Unaweza kutozwa gharama ya data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.
Iwe ni simu ya kikundi kwa wanafunzi wenza, kuzungumza na mama, jieleze kwa urahisi kwa simu za sauti na video.
Kwa usimbaji fiche kutoka mwanzo hadi mwisho, ujumbe na simu zako za kibinafsi zinalindwa. Ni wewe tu na unayezungumza naye mnaoweza kusoma au kusikiliza, wala hakuna mwingine yeyote, hata WhatsApp.
Iwe ni kupanga ziara na marafiki au kufuatilia gumzo ya familia, mazungumzo ya vikundi yanafaa kuwa rahisi.
Jielezee bila kutumia maneno. Tumia vibandiko na GIF au shiriki matukio ya kila siku katika Hali. Nakili ujumbe wa sauti wa kujulia hali au hadithi za kawaida.
WhatsApp Business hukusaidia kufikia wateja wako duniani kote ili kukuletea hali ya utumiaji yenye kuvutia kwa kiwango kikubwa. Onyesha bidhaa na huduma zako, ongeza mauzo na ujenge uhusiano ukitumia WhatsApp.
WhatsApp ilianza kama programu ya simu na msingi huo unabaki kuwa imara kama zamani. Lakini kwa kuwa mamia ya mamilioni ya watu wanatumia WhatsApp...
Mwaka jana, tulizindua Jumuiya, ili kuwasaidia watu kunufaika zaidi kutoka katika vikundi vyao kwenye WhatsApp. Tangu kuzinduliwa, tumetaka kuunda...
Hali ni njia maarufu ya kushiriki matukio ya muda mfupi na marafiki na watu unaowasiliana nao wa karibu kwenye WhatsApp. Zinatoweka baada ya saa 24...
Heri ya Mwaka Mpya kwa kila mtu anayetumia WhatsApp! Tuna ufahamu kuwa vile tu tulivyosherehekea kuanza kwa 2023 kupitia ujumbe au simu za faragha,...
Ingawa WhatsApp inajulikana zaidi kwa kuleta ujumbe wa faragha na salama kwa watumiaji duniani kote, watu wengi zaidi wanatumia WhatsApp kama njia ya...