Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Rahisi. Salama.
Utumaji ujumbe wa kutegemeka.

Kwa kutumia WhatsApp, utatuma ujumbe na kupiga simu kwa haraka, urahisi na kwa njia salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.

Pakua sasa
* Gharama za data zitatumika. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo.
  • Android
  • iPhone
  • Mac au Windows PC

 

Programu ya WhatsApp Business

WhatsApp Business ni programu unayoweza kupakua bila kulipia iliyoundwa kwa kumzingatia mmiliki wa biashara ndogo. Unda katalogi kuonyesha bidhaa na huduma zako. Wasiliana na wateja kwa urahisi kwa kutumia zana za kujiendesha, panga na ujibu ujumbe kwa haraka.

WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.

Ufumbaji wa mwisho hadi mwisho

Usalama wa Asili

Baadhi ya matukio ya binafsi kabisa katika maisha yako hushirikiwa kupitia WhatsApp, hii ndiyo sababu tumetengeneza ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye matoleo ya karibuni ya programu yetu. Kwa kutumia ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, ujumbe na simu unazopiga au kupokea huwa salama, kwa hiyo wewe tu na mtu unayewasiliana naye ndio mnaweza kusoma au kusikiliza. Hakuna mtu mwingine, hata WhatsApp yenyewe, anaweza kusoma wala kusikiliza.

Chunguza vipengele

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti