Rahisi. Salama.
Utumaji ujumbe wa kutegemeka.
Kwa kutumia WhatsApp, utatuma ujumbe na kupiga simu kwa haraka, urahisi na kwa njia salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.
WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.
Ufumbaji wa mwisho hadi mwisho
Usalama wa Asili
Baadhi ya matukio ya binafsi kabisa katika maisha yako hushirikiwa kupitia WhatsApp, hii ndiyo sababu tumetengeneza ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye matoleo ya karibuni ya programu yetu. Kwa kutumia ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, ujumbe na simu unazopiga au kupokea huwa salama, kwa hiyo wewe tu na mtu unayewasiliana naye ndio mnaweza kusoma au kusikiliza. Hakuna mtu mwingine, hata WhatsApp yenyewe, anaweza kusoma wala kusikiliza.