Tuma ujumbe faraghani
Rahisi, yaaminika, kutuma ujumbe faraghani bila malipo *, yapatikana duniani kote.
*Huenda ukatozwa kutumia data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.
Rahisi, yaaminika, kutuma ujumbe faraghani bila malipo *, yapatikana duniani kote.
*Huenda ukatozwa kutumia data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.
Iwe ni simu ya kikundi kwa wanafunzi wenza, kuzungumza na mama, jieleze kwa urahisi kwa simu za sauti na video.
Kwa usimbaji fiche kutoka mwanzo hadi mwisho, ujumbe na simu zako za kibinafsi zinalindwa. Ni wewe tu na unayezungumza naye mnaoweza kusoma au kusikiliza, wala hakuna mwingine yeyote, hata WhatsApp.
Iwe ni kupanga ziara na marafiki au kufuatilia gumzo ya familia, mazungumzo ya vikundi yanafaa kuwa rahisi.
Jielezee bila kutumia maneno. Tumia vibandiko na GIF au shiriki matukio ya kila siku katika Hali. Nakili ujumbe wa sauti wa kujulia hali au hadithi za kawaida.
WhatsApp Business hukusaidia kufikia wateja wako duniani kote ili kukuletea hali ya utumiaji yenye kuvutia kwa kiwango kikubwa. Onyesha bidhaa na huduma zako, ongeza mauzo na ujenge uhusiano ukitumia WhatsApp.