Rahisi. Salama.
Utumaji jumbe wa kutegemewa.
Kwa kutumia WhatsApp, utapata uharaka, urahisi, utumaji jumbe na upigaji simu salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.
WhatsApp inaweza kutoa msaada kwa wateja watoa huduma za biashara wakati na wakubwa na kutoa arifa muhimu kwa wateja. Jifunze zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.
Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho
Usalama kwa Asili
Baadhi ya vipindi vya maisha yako binafsi unayashirikisha kwa WhatsApp, hii ndio sababu tumetengeneza ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho kwenye matoleo ya karibuni ya programu yetu. Wakati umefumbwa mwisho-kwa-mwisho, jumbe zako na simu unazopiga au kupokea zipo kwenye usalama kwa hiyo wewe tu na mtu unayewasiliana naye ndiye atakayeweza kusoma au kuzisikiliza, na hakuna mwingine kati yenu, hata WhatsApp hawawezi.