Mawasiliano Rahisi, Salama.
Njia ya uhakika ya kutuma ujumbe.
Kwa kutumia WhatsApp, utatuma ujumbe na kupiga simu kwa haraka, urahisi na kwa njia salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.
Kwa kutumia WhatsApp, utatuma ujumbe na kupiga simu kwa haraka, urahisi na kwa njia salama bure*, inapatikana kwenye simu duniani kote.
WhatsApp Business ni programu unayoweza kupakua bila kulipia, iliyoundwa kwa kuwazingatia wamiliki wa biashara ndogo. Unda katalogi ili uonyeshe bidhaa na huduma zako. Tangamana na wateja wako kwa urahisi kwa kutumia zana za kupanga na kujibu ujumbe kwa njia ya haraka na ya kiotomatiki.
WhatsApp pia inaweza kuzisaidia biashara kubwa na za wastani kutoa usaidizi na kutuma arifa muhimu kwa wateja. Pata maelezo zaidi kuhusu API ya WhatsApp Business.
Baadhi ya matukio ya binafsi kabisa katika maisha yako hushirikiwa kupitia WhatsApp, hii ndiyo sababu tumetengeneza ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye matoleo ya karibuni ya programu yetu. Kwa kutumia ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, ujumbe na simu unazopiga au kupokea huwa salama, kwa hiyo wewe tu na mtu unayewasiliana naye ndio mnaweza kusoma au kusikiliza. Hakuna mtu mwingine, hata WhatsApp yenyewe, anaweza kusoma wala kusikiliza.