Nenda kwenye maudhui
  • Nyumbani
    • Tuma ujumbe faraghaniUsiachwe nyumaJenga jumuiyaJielezeWhatsApp ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
Pakua
Sheria na Sera ya Faragha2023 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Usiachwe nyuma

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Jenga jumuiya

      Mazungumzo ya vikundi yamerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • Biashara ya WhatsApp

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
WhatsApp WebPakua

Tuma ujumbe faraghani

Rahisi, yaaminika, kutuma ujumbe faraghani bila malipo *, yapatikana duniani kote.

Pakua

* Gharama za data zinaweza kutozwa. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.

Ukiwa na uwezo wa kutuma ujumbe na kupiga simu faraghani, unaweza kuwa na ujasiri, ukajieleza utakavyo na uzungumze na watu muhimu kwako popote walipo.

Kuwa katika mawasiliano kila wakati katika simu za sauti na video

Iwe ni simu ya kikundi kwa wanafunzi wenza, kuzungumza na mama, jieleze kwa urahisi kwa simu za sauti na video.

Pata maelezo zaidi

Zungumza
kwa uhuru

Kwa usimbaji fiche kutoka mwanzo hadi mwisho, ujumbe na simu zako za kibinafsi zinalindwa. Ni wewe tu na unayezungumza naye mnaoweza kusoma au kusikiliza, wala hakuna mwingine yeyote, hata WhatsApp.

Pata maelezo zaidi

Endelea kuwasiliana
na vikundi vyako

Iwe ni kupanga ziara na marafiki au kufuatilia gumzo ya familia, mazungumzo ya vikundi yanafaa kuwa rahisi.

Pata maelezo zaidi

Sema
unavyohisi

Jielezee bila kutumia maneno. Tumia vibandiko na GIF au shiriki matukio ya kila siku katika Hali. Nakili ujumbe wa sauti wa kujulia hali au hadithi za kawaida.

Pata maelezo zaidi

Boresha
biashara yako

WhatsApp Business hukusaidia kufikia wateja wako duniani kote ili kukuletea hali ya utumiaji yenye kuvutia kwa kiwango kikubwa. Onyesha bidhaa na huduma zako, ongeza mauzo na ujenge uhusiano ukitumia WhatsApp.

Pata maelezo zaidi
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsAppPakua
Huduma ZetuVipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni naniKutuhusuKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsAppAndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?Wasiliana nasiKituo cha MsaadaVirusi vya KoronaUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2023 ©

Sheria na Sera ya Faragha