Jiunge WhatsApp
WhatsApp ni njia ya haraka, rahisi na yakutegemewa kuongea na yeyote yule duniani. Zaidi ya watu bilioni 1 kwenye zaidi ya nchi 180 wanatumia WhatsApp kujiweka karibu na marafiki na familia, muda wowote na mahali popote. WhatsApp sio bure tu bali pia inapatikana kwenye vifaa mbalimbali vya mkononi na kwenye sehemu zenye muunganisho hafifu — hivyo kuifanya yakutegemewa na inayopatikana popote pale ulipo. Ni njia rahisi na salama ya kushirikisha nyakati zako ulizozipenda, kutuma taarifa muhimu au kukutana na rafiki. WhatsApp inasaidia watu kuunganika na kushirikishana bila kujali mahali walipo duniani.

WhatsApp is proud to be an Equal Employment Opportunity and Affirmative Action employer. We do not discriminate based upon race, religion, color, national origin, sex, sexual orientation, gender identity, age, status as a protected veteran, status as an individual with a disability, or other applicable legally protected characteristics. Click here to read Equal Employment Opportunity is the Law.

We are committed to providing reasonable accommodations for qualified individuals with disabilities and disabled veterans in our job application procedures. If you need assistance or an accommodation due to a disability, you may contact us at accommodations-ext@fb.com or you may call us at +1 650 308 7837.

WhatsApp participates in the E-Verify program in certain locations, as required by law.